Home Mchanganyiko MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BAADA YA KIKAO CHA BUNGE

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BAADA YA KIKAO CHA BUNGE

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf  Masauni (kushoto) na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali Bungeni jijini Dodoma, Januari 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Manonga, Seif Khamis Gulamali, Bungeni jijini Dodoma Januari 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)