Home Mchanganyiko RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA MABALOZI 9 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO...

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA MABALOZI 9 WANAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Ghana mwenye makazi yake nchini Kenya Fransisca Ashiete-ODUNTON Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Djibouti hapa nchini
mwenye makazi yake nchini Kenya Yacin Elmi Bouh mara
baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Djibouti hapa nchini mwenye
makazi yake Kenya Yacin Elmi Bouh mara baada ya
kuwasilisha Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Venezuela hapa nchini Jesus Agustin
Manzanilla PUPPO Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Israel mwenye makazi yake
Kenya Oded Joseph Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino hapa nchini
mwenye makazi yake nchini Kenya Alex Chua katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ghana mwenye makazi
yake nchini Kenya Fransisca Ashiete-ODUNTON Ikulu jijini
Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Jamaica hapa nchini
mwenye makazi yake Afrika Kusini Angela Veronica Comfort
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Austria mwenye makazi
yake nchini Kenya Dkt. Christian Fellner Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya
Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ureno hapa nchini mwenye
makazi yake nchini Msumbiji Maria Amelia Maio De PAIVA
katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na Balozi wa Singapore hapa nchini mwenye
makazi yake Singapore Douglas Foo Peow Yong mara baada ya
kuwasilishha Hati zake za utambulisho