Home Mchanganyiko KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AKUTANA NA BODI NA MENEJIMENTI YA...

KATIBU WA BUNGE NDG. STEPHEN KAGAIGAI AKUTANA NA BODI NA MENEJIMENTI YA KAMPUNI YA BOMBA LA MAFUTA KATI YA TANZANIA NA ZAMBIA JIJINI DODOMA

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor  Kaunda alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor  Kaunda alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Bodi na Menejiment ya Kampuni ya Mafuta ya Tanzania na Zambia ilipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, Ndg. Trevor Kaunda

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Zambia, iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Zambia Ndg. Trevor Kaunda (katikati) Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)