Home Mchanganyiko KAMATI YA PIC YAKUTANA NA SHIRIKA LA RELI LA TAZARA

KAMATI YA PIC YAKUTANA NA SHIRIKA LA RELI LA TAZARA

0

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC) wakiwa katika kikao cha kamati hiyo ambapo walikutana na watendaji wa Shirika la Reli linalomilikiwa na Tanzania na Zambia (TAZARA) kwenye Ofisi za Bunge Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa mitaji ya umma (PIC)Dkt.Raphael Chengeni akiongoza kikao cha kamati hiyo ilipokutana na watendaji wa Shirika la Reli linalomilikiwa kwa ubia baina ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kwenye Ofisi za Bunge Jijini Dodoma hii leo. (Picha na Ofisi ya Bunge).