Home Mchanganyiko MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGA MATEMBEZI YA VIJANA WA CCM ZANZIBAR

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGA MATEMBEZI YA VIJANA WA CCM ZANZIBAR

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Halmashauri kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Ali Idi kwa kushiriki na kufanikisha matembezi ya miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakati wa Ufungaji wa Matembezi ya Vijana wa CCM kuelekea kilele cha Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 10,2020 katika Uwanja wa Mapinduzi SQuare Michenzani Zanzibar.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Halmashauri kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akihutubia Viongozi na Vijana wa CCM mara baada ya kupokea Bendera na Picha mbalimbali za Waasisi wa Taifa hili wakati wa Ufungaji wa Matembezi ya Vijana wa CCM kuelekea kilele cha Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 10,2020 katika Uwanja wa Mapinduzi SQuare Michenzani Zanzibar.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Halmashauri kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka kwa Daud Kalela mmoja kati ya Vijana Walioshiriki  Matembezi ya Vijana wa CCM kuelekea kilele cha Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakati wa Upokeaji na  Ufunguaji wa Matembezi hayo yaliyofanyika leo Januari 10,2020 katika Uwanja wa Mapinduzi SQuare Michenzani Zanzibar.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya Halmashauri kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Msanii kizazi kipya Asley kwenye Ufungaji wa matembezi ya Matembezi ya Vijana wa CCM kuelekea kilele cha Miaka 56 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo Januari 10,2020 katika Uwanja wa Mapinduzi SQuare Michenzani Zanzibar.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)