Home Michezo KARIA RAIS MPYA CECAFA

KARIA RAIS MPYA CECAFA

0

*************************************

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Vyama na Vilabu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA)

Uchaguzi huo umefanyika leo katika Hoteli ya Silver Springs, Uganda na Karia ataliongoza Baraza hilo kwa kipindi cha miaka 4.