Home Mchanganyiko IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA KIKOSI CHA POLISI TAZARA NA...

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI KATIKA KIKOSI CHA POLISI TAZARA NA RELI NA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA SHIRIKA LA RELI TAZARA NA SHIRIKA LA RELI TANZANIA TRC

0

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kushoto) akiweka saini kitabu cha wageni wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Kikosi cha Polisi Tazara na kukutana na Menejimenti ya Shirika la Reli la Tazara leo Jijini Dar es salaam, wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli la Tazara Bruno Ching’andu. Picha na Jeshi la Polisi.

Askari wakitoa salamu ya kijeshi mbele ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, kwenye gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika kikosi Polisi Tazara na Kikosi cha Reli kwa
lengo la kufanya tathmini ya kiutendaji kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Makamanda pamoja na wasaidizi wao. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa Kikosi cha Polisi Tazara wakati alipofanya ziara ya ukaguzi kwenye
kikosi hicho kwa lengo la kufanya tathmini ya kiutendaji kutokana na kazi kubwa inayofanywa na Makamanda pamoja na wasaidizi wao. Picha na Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi katika Kikosi cha Polisi Reli na kukutana na Menejimenti ya
Shirika la Reli la Tanzania TRC leo Jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.