Home Mchanganyiko ZOEZI LA UHAKIKI WAKIMBIZI DAR ES SALAAM LAANZA KWA KISHINDO OFISI ZA...

ZOEZI LA UHAKIKI WAKIMBIZI DAR ES SALAAM LAANZA KWA KISHINDO OFISI ZA REDOSO, ZILIZOPO ENEO LA BIAFRA, KINONDONI

0

Baadhi ya wakimbizi waishio Dar es Salaam wakihudumiwa ili
kuhuisha takwimu zao kwenye Ofisi za Shirika la Relief of
Development Society (REDOSO), zilizopo eneo la Biafra,
Kinondoni. (Picha na Veronica Mwafisi-MOHA)

Baadhi ya wakimbizi waishio Dar es Salaam wakisubiri
kuhuisha takwimu zao kwenye Ofisi za Shirika la Relief of
Development Society (REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni.
(Picha na Veronica Mwafisi-MOHA)

Afisa Mkuu wa Uendeshaji na Utawala wa Makambi kutoka
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Stephen Msangi, akifafanua jambo kabla ya kuanza
zoezi la uhuishaji takwimu za wakimbizi waishio Dar es Salaam
jana, katika Ofisi za Shirika la Relief of Development Society
(REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni. (Picha na Veronica
Mwafisi-MOHA)

Afisa Mkuu wa Uendeshaji na Utawala wa Makambi kutoka
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa
Wakimbizi, Stephen Msangi, akizungumza jambo kabla ya
kuanza zoezi la uhuishaji takwimu za wakimbizi jijini Dar es
Salaam katika Ofisi za Shirika la Relief of Development Society
(REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni. Katikati ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Uendeshaji Makambi na Makazi, Idara ya Huduma
kwa Wakimbizi, Nsato Marijani na Mkurugenzi Msaidizi wa
Operesheni na Usalama, Kanali Rajabu Maisha. (Picha na
Veronica Mwafisi-MOHA)

Mkurugenzi Msaidizi wa Uendeshaji Makambi na Makazi, Idara
ya Huduma kwa Wakimbizi, Nsato Marijani (katikati),
akisalimiana na Afisa Mkuu wa Uendeshaji na Utawala wa
Makambi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Stephen Msangi,
baada ya kufika katika Ofisi za Shirika la Relief of Development
Society (REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni ili kusimamia
uhuishaji taarifa za wakimbizi waishio Dar es Salaam. Kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi wa Operesheni na Usalama, Kanali
Rajabu Maisha. (Picha na Veronica Mwafisi-MOHA)