Home Mchanganyiko RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEUDHULIA MISA TAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MT.MARIA IMACULATA...

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEUDHULIA MISA TAKATIFU KATIKA PAROKIA YA MT.MARIA IMACULATA CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka takati wa misa ya Jumapili
katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino
jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki kaaika misa ya
Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria Imaculata Chamwino Ikulu kijijini
Chamwino jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hui ni mara ya Kwanza kwa
Rais na Familia yake kushioriki katika misa katika parokia hii toka
ahamkie rasmi Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea baada ya  misa ya Jumapili katika Parokia ya Mt. Maria
Imaculata Chamwino Ikulu kijijini Chamwino jijini Dodoma leo Novemba
24, 2019.

 

PICHA NA IKULU