Home Mchanganyiko SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA JIJINI...

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA JIJINI DODOMA

0

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Ndg. Mathias Kabunduguru alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Ndg. Mathias Kabunduguru alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Ndg. Mathias Kabunduguru alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Ndg. Mathias Kabunduguru alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Ndg. Mathias Kabunduguru alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.