Home Mchanganyiko AFISA UCHUNGUZI WA TAKUKURU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MTANDAO HUO

AFISA UCHUNGUZI WA TAKUKURU ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MTANDAO HUO

0

Bi Lilian (kushoto) akipokea vitendea kazi kutoka kwa aliyekuwa Rais wa Mtandao huo kutoka nchini Uganda,Bi.Sara Birungi.

*****************************

Novemba 20, 2019 katika Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Asset Recovery Inter-Agency Network for Eastern Africa -ARIN-EA, Bi.Lilian William Kafiti – Afisa Uchunguzi – Mwanasheria wa TAKUKURU Makao Makuu, alichaguliwa kuwa Rais wa Mtandao huo kwa kipindi cha miaka miwili 2020-2022. Mkutano huo umefanyika katika hoteli ya Speke iliyopo jijini Kampala, Uganda kuanzia Novemba 18 – 22, 2019 na kuhudhuriwa na nchi nane wanachama.