Home Burudani BENSONI HAUZIMI AACHIA NGOMA “ICHOTE”

BENSONI HAUZIMI AACHIA NGOMA “ICHOTE”

0

*******************************

NA EMMANUEL MBATILO

MSANII wa kizazi kipya hapa nchini Benson William maalufu Bensoni Hauzimi ameitambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “ICHOTE” baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sasa.

Benson amesema kuwa ameamua kuachia ngoma hiyo ambayo anaamini mashabiki zake kwa pamoja wataikubali kwani mashabiki wengi wamekuwa wakimsapoti katika kazi zake hivyo amewataka mashabiki zake waendelee kumpa ushirikiano wa kutosha kwani bado anajukumu la kuhakikisha anaendelea kufanya vizuri katika tasnia hiyo.