Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akipokea salamu kutoka
kwa CPL Zurith baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa
alipopitia akiwa katika ziara ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk Joseph Magufuli. (PICHA NA JESHI LA POLISI).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya
pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari wa Kituo cha Polisi cha Ruangwa
kilichopo mkoani Lindi.( PICHA NA JESHI LA POLISI)
Maafisa na wakaguzi wakimpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa
kilichopo wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwaajili ya kusikiliza changamoto
za askari wa kituo hicho. (PICHA NA JESHI LA POLISI)