Home Mchanganyiko JAJI MKUU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BARAZA LA USULUHISHI TANZANIA

JAJI MKUU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA BARAZA LA USULUHISHI TANZANIA

0

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) akizungumza na  wajumbe wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi  Tanzania( Tanzania Institute of Arbitrators)  waliofika  ofisini kwake leo, iliyopo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania  kwa lengo la kujitambulisha.

 

Mjumbe wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi Tanzania, Frank Mwalongo akizungumza jambo  wakati wa mazungumzo hayo.

Mjumbe wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi Tanzania, Larissa Leach (wa pili kulia)akizungumza jambo  wakati wa mazungumzo hayo.

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi   Tanzania(Tanzania Institute of Arbitrators). Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa wajumbe wa Baraza la Taasisi ya Wasuluhishi Tanzania, Gabriel Malata (kulia).

(Picha na Magreth Kinabo)